Google PlusRSS FeedEmail

WOLPR ATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA INSTAGRAM


“Nasikia mjini kuna nyakunyaku sasa jamani mtu mzima unanyakuliwaje? me nasema ukininyakulia nikakuachia labda kma simpendi lkn kma nimempenda anyakuliwi mtu ubabisha jarbu shuwainiiii ….

Na nyie wadada wamjini acheni habari zakuibiana mabwana na kutangazana insta kma umeshindwa kumuifadh bwanaako vzuri akanyakuliwa basi tulia tulii… tafuta mnyonge nawe umnyakulie syo maneno kila sku tukitagiwa kwenye umbea ukisoma ni mambo ya nyaku nyaku sasa we ulinyakuliwa ulikua wapi?”

Kama wewe ni mmoja kati ya Followers wa Actress Jacqueline Wolper kwenye Instagram utakuwa umeshakutana na haya maneno tayari, picha na clip fupi za video zikimuonesha mrembo huyu akijienjoy na wa ‘Ubani’ wake.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging