Google PlusRSS FeedEmail

WEMA SEPETU AMJIBU DIAMOND PLATNUM????????

MSANII wa filamu nchini ambaye pia ni kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), aliyewahi kuwa mis Tanzania mwaka 2007, Wema Sepetu ameingia katika orodha ya mastaa wenye followers wengi Afrika.

Wema ambaye amezidi kuwa gumzo mara baada ya kufanya sherehe yake ya kumbukumbu ya kuzaliwa, huku sherehe hiyo ikiwa imehudhuriwa na watu maarufu, ambapo staa huyo alijituza gari ya gharama hali iliyopelekea baadhi ya mashabiki wake wakidai kuwa anamjibu aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Diamond Platnum.

Wema ameweza kufikisha followers milioni moja, Na ni star wa kike kutoka Afrika Mashariki baada ya wakwanza kuwa ni Lupita Nyongo kutoka nchini Kenya.Lupita kwasasa ana followers milion moja na laki tisa.Sasa Wema ameingia katika orodha ya mastaa wenye followers wengi Africa.

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging