Google PlusRSS FeedEmail
Showing posts with label /COMEDY. Show all posts
Showing posts with label /COMEDY. Show all posts

KITUKO CHA KANSIIME

[Read More]

Soko la filamu wiki hii filamu zilizoingia sokoni kwa siku ya Ijumaa ni Geti Kali ambayo ni komedi inayowashirikisha wasanii kama Asha Boko, Mtanga, Gobogobo na Alex Machojo komedi hiyo imesambazwa na kampuni ya G Power komedi hiyo ipo dukani na inaendelea kufanya vizuri ..gwiji la vichekesho Afrika mashariki Amri Athuman ‘King Majuto’ ameingia sokoni na komedi ya Four Angle akimshirikisha mwanaye Mohamed kazi hiyo imeandaliwa na Yusuf Omary muswada umeandikwa na Nick Issa Sudy picha pia imepigwa na Nick Issa Sudy.Filamu nyingine iliyopo sokoni ni filamu ya Kauli ya Mama kazi iliyofanywa na Haji Hakimu kama mtayarishaji na mwandishi wa muswada lakini kwa upande wa uhariri umefanywa na Msekwa, hizi ni kazi zilizoingia sokoni kwa wiki hii, filamu ya Four angle na Kauli ya Mama inasambazwa na kampuni ya Steps Entertainment, nunua kazi halali katika kukuza tasnia ya filamu..

KING MAJUTO.AINGIZA FILAMU YAKE MPYA SOKONI

Soko la filamu wiki hii filamu zilizoingia sokoni kwa siku ya Ijumaa ni Geti Kali ambayo ni komedi inayowashirikisha wasanii kama Asha B... [Read More]

Wasanii wa kundi la vichekesho la Original Comed, wakitoa burudani katika uzinduzi wa kampeni ya 'Tupo Wangapi' Tulizana, iliyozinduliwa juzi kwa ajili ya kupunguza kasi ya maambukizi ya Ukimwi ambapo iliandaliwa na PSI kwa udhamini wa Shirika la USIAD la Marekani.

ORIGINAL COMED WAZINDUA KAMPENI YA TUPO WANGAPI

Wasanii wa kundi la vichekesho la Original Comed, wakitoa burudani katika uzinduzi wa kampeni ya 'Tupo Wangapi' Tulizana, iliyozin... [Read More]

Mahsein Awadh ‘Dr. Cheni’ amebadirika na kuingia katika uchekeshaji na kuigiza huku akiwa mhusika mkuu katika komedi aliyoipatia jina la Dr. Kifimbo ni kitu tofauti sana kwa muigizaji wa filamu kuigiza kuchekesha na kumudu kwani wengine wanafahamu kuwa uchekeshaji ni fani ngumu..“Ni komedi inayokuja kufanya mapinduzi katika Ulimwengu wa Komedi tunapomuongelea huyu Dr. Kifimbo yeye anadili na wagonjwa wenye magonjwa ya kujitakia, kwa mfano mtu anapoumwa magonjwa kama vidonda vya tumbo sababu yake ni kushinda bila kula na kuwa na njaa dawa ninayotoa hapa ni viboko tu,”anasema Dr. Cheni. Kwa kupitia kampuni yake ya Dr. Cheni Creation Arts ameandaa komedi nyingine inayokwenda kwa jina la Old is Gold anayoshirikiana na wasanii wa Komedi Wakongwe kama Mzee Onyango, Mwita Maranya, Mahoka kutoka Zanzibar, Pembe, Senga, Zimwi, Mboto, Samofi na wasanii wengine wengi waliotamba siku za nyuma.

DK CHENI AJITUPA KWENYE KOMEDI

Mahsein Awadh ‘Dr. Cheni’ amebadirika na kuingia katika uchekeshaji na kuigiza huku akiwa mhusika mkuu katika komedi aliyoipatia jina la ... [Read More]

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging