MAENDELEO YA FILAMU TANZANIA
WAKATI msemo wa Hapa kazi ukiwa ndio habari ya mjini na sisi tunasema “ FILAMU KAZI” jukwaa ... [Read More]
ALBAMU YA ADELE KUWEKA HISTORIA MPYA UK
Albamu ya mwanamuziki Adele huenda ikaweka historia nchini Uingereza kwa kuwa albamu iliouza zaidi ,ikiwa ... [Read More]
FACEBOOK KUANDAA UTARATIBU WA KUTOONA TAARIFA ZA X WAKO
Kuna habari njema,mtandao wa facebook umetangaza kuwa unatafuta mbinu mpya ya kupunguza machungu unayopata wakati unapokutana na mpenzi wa... [Read More]
LIL WAYNE KUSHTAKIWA TENA
Kwa mara ya 3 kwa mwaka huu rapper mmiliki wa Young Money Lil Wayne, anakumbana tena na mkono wa sheria kujibu mashtaka yanayomkabili. Sah... [Read More]
QUICK ROCKA AITAKA SERIKALI KUWEKA MKAZO JUU YA UKUAJI WA SANAA
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini,Quick Rocka ameitaka serikali kuelewa na kuweka mkazo zaidi kuendelea sanaa ya Tanzania na kuifany... [Read More]
'VAILETY' YAMUINGIZIA MATONYA MILIONI 150
Mkali wa muziki wa Bongo Flava Seif ‘Matonya’ shaaban, ameuelezea wimbo wake wa ‘kitambo’ Vailety kuwa ndio wimbo uliompatia pesa nyingi k... [Read More]
RICH MAVOKO KUGEUKIA SOKA?????
MSANII wa muziki wa Bongo Flava Richard Mavoko, amesema kama asingekuwa mwanamuziki basi angekuwa mchezaji mpira mkali sana. Akizungumza k... [Read More]
JOHN MAKINI KUJIGHARAMIA KIMATAIFA
MwanaHipHop maarufu nchini ‘Joh Makini” ambaye amekuwa gumzo baada ya kuachia video yake ya don’t bother,amesema analazimika kutumia ghara... [Read More]
BEN POL: "COKE STUDIO NI HATUA KUBWA KWANGU KIMUZIKI"
Msanii wa muziki wa kizazi kpya nchini,Benald Paul ‘Ben Pol’ amesema ushiriki wake katika onesho la Coke Studio ni moja ya mafanikio katik... [Read More]
WOLPER AMRUDIA MUNGU
MSANII wa filamu nchini Jacqueline Wolper, amewataka wasanii wenzake kumrudia mungu na kufanya yale yaliyomema katika jamii, ambapo yeye a... [Read More]
RIHANNA , YOUNG THUG KUTOKA NA 'MKWAJU' MOJA
Star wa kike wa muziki Duniani Rihanna na Star wa Hip hop Young Thug, wameingia studio pamoja ili kuulasimisha ‘mkwaju’ wa pamoja. Rihanna... [Read More]
ALBUMU YA ADELLE YAINGIA PLATINUM IKIWA NA SIKU 3 SOKONI
Ngoma yake ya ‘hello’ ndiyo ngoma yake iliyofanya vizuri zaidi kipindi hiki.Hali iliyopelekea Albamu ya Adelle kuingia 'Platinum' ... [Read More]
UNAMKUMBUKA KWA LIPI SHARO? IKIWA NI KUMBUKUMBU YA MIAKA 3 YA KIFO CHAKE
Imetimia miaka 3 tangu mpendwa wetu kwenye sanaa Bongo, Hussein ‘Sharo’ Mkiety afariki dunia tarehe kama ya leo mwaka 2012 katika ajali ya... [Read More]
LINEX NA GARI YA MKUU WA WILAYA
MSANII wa muziki wa Bongo Flava Sunday ‘Linex’ Mjeda, ameamua kuelezea mkasa uliomkuta baada ya ‘kuikwangua’ gari ya mkuu wa Wilaya ya Ki... [Read More]
NAY WA MITEGO ACHANGANYWA NA MAPENZI MAPYA
MSANII wa muziki wa kizazi kipya nchini Nay Wa Mitego ameamua kuyaweka wazi mapenzi yake mapya katiyake na mwanamke mrembo mtanzania anaye... [Read More]
MISS TANZANIA KUCHUANA NA WAREMBO 100 MISS WORLD
JOTO la kumtafuta mrembo wa dunia limepamba moto, ambapo baadhi ya warembo kutoka nchi mbalimbali wamewasili nchini China kwa ajili ya... [Read More]
WOLPR ATUMA UJUMBE MZITO KUPITIA INSTAGRAM
“Nasikia mjini kuna nyakunyaku sasa jamani mtu mzima unanyakuliwaje? me nasema ukininyakulia nikakuachia labda kma simpendi lkn kma nimem... [Read More]
SOLO THANG AMJIBU NIKKI WA PILI
Ni siku chache tu zimepita tangu msanii kutoka Weusi kampuni Nikki wa pili kutaja list ya best mc’of all times ambapo katika list hiyo ali... [Read More]
RIHANNA KUDONDOSHA ALBAMU MPYA NOV 27
Taarifa zisizo rasmi zinasema kuwa album mpya ya Rihanna ‘‘Anti World Tour’ inatarajiwa k... [Read More]





























