Google PlusRSS FeedEmail

LOTERY TICKET YAANZA KUFANYA VYEMA SOKONI

Baada mkongwe wa muziki na filamu ice cube kuitumbukiza filamu yake lotery ticket imeanza kuwa na mafanikio makubwa huko hollywood .
Lotery ticket ni filamu mpya ya Ice Cube,
Cube ambaye pia ni mtayarishaji wa filamu pia ameonekana kubadilika kutokana na hadithi aliyoiandika hasa katika filamu hii.
Katika filamu hiyo Cube amemshirikisha mwana hip hop Kevin Carson -(Bow Wow)ambaye ameonekana kumudu vilivyo sehemu yake aliyoigiza.
Filamu hii inaelezea maisha ya kamari ,ambapo bow wow anaonekana akitumia mamillion ya dolla ili aweze kushinda mchezo huo.
Licha ya maudhui hayo filamu hiyo inaelezea maisha ya zamani hasa maisha ya miaka 1931,ambapo kulikuwa namchezo wa kubahatisha wa le million,ambao uliweza kuleta msisimko miaka hiyo..pia katika filamu hiyo imeelezea utamaduni wa Africa,Ulaya na hasa kazi yenyewe kugusa nyanja zote

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging