Google PlusRSS FeedEmail

JOHN DEPP NA VANESSA PARADIS WATENGANA

Mcheza filamu na mwimbaji  maharufu kote Duniani John Deep ameondoka nchini France,kurejea nyumbani kwao nchini Marekani,mara baada ya fununu kwamba ameachana na mpenzi wake,Venessa Paradis.Venessa ambaye taarifa hizo zinaweza kudhuru familia yake.Deep alikuwa amenunua nyumba jijini Los Angeles Marekani pamoja na baadhi ya vitu vinavyozunguka nyumba hiyo
Tayari alishajenga studio yake na huenda akatumia muda mwingi kufanya kazi na mwanamuziki ambao wanatumia lebo yake.Mtu wa karibu na wawili hao alisema Depp anamiliki vitu kadhaa ,lakini amewekeza fedha na mali nyingi huko Hollwood ilipo nyumba yake..Awali Depp alikuwa mwanamuziki kabala ya kujiingiza katika anga za filamu

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging