Mpiga Drums maarufu wa muziki wa dansi bendi ya FM Academia, Bally Tempo amesema kabadilisha ladha ya muziki kwa kujikita kwenye muziki wa bongo fleva na anatarajia kuziweka hewani nyimbo zake ili kukonga nyoyo za mashabiki wake
Mwanamuziki huyo alisema ameamua kujikita kwenye muziki huo ili jamii ijue kama ana kipaji kingine katika tasnia ya muziki hapa nchini
“Mimi ni msanii na msanii anatakiwa awe na vipaji vingi kwa hiyo na mimi nina vipaji ndio maana nikatoa nyimbo mbili mfululizo na hivi punde tu zitakuwa hewani ili mashabiki waamini “ alisema
Alizitaja nyimbo hizo kuwa ni ‘Mtoto wa Mama’ pamoja na ‘Jumba’ ambayo mmoja kati ya hiyo amemshirikisha Mangwea
PRO24 RADIO/TV
CLICK AND ENJOY GOOD MUSIC
MIXTAPES
ARTIST PROFILES
Blog Archive
LOVE LINKS
PRO-24 DJS OFFICIAL BLOG
PRO24 ENTERPRISES. Powered by Blogger.