DOGO JANJA AKIKAMUUA JUKWAANI Posted on by Zourha Malisa Msanii Dogo Janja amabye sasa yupo na kundi la watanashati akifanya shoo ya ukweli katika uzinduzi wa Usiku wa Club ulioandaliwa na Pro 24 pamoja na Tbc one na Tbc two