Msanii Recho akitoa burudani kwa mashabiki wake |
Ndege mnana akionyesha uwezo wake wa kuzungusha kiuno pamoja na wacheza shoo wake ndani ya Club Bilicanas jumapili |
Recho wa 'Upepo' akifanya shoo ndani ya ukumbi wa Bilicanas Jumapili katika shoo inayokwenda kwa jina la Usiku wa Club iliyoandaliwa na kurushwa live na TBC I,pamoja na Pro 24 Djs |







