MA DJ WA PRO 24 WAZIMIKIWA
Pro 24 walikuwa kivutio kikubwa kwa baadhi ya mashabiki ambao wengine hawakusita kuomba kupiga nao picha kama kumbukumbu hali hiyo inasababishwa na kazi wanaoifanya kupokelewa vizuri na mashabiki wao
Baadhi ya ma Dj wa Pro 24 wakiwa katika picha ya pamoja na msanii wa bongo muvi Shishi katika tamasha la East Africa Pamoja Concert lililoandaliwa na Pro 24 Djs Dar Live jijini Dar es Salaam