MRISHO MPTO NA BENDI YAKE ILITOA BURUDANI USIKU WA UTOAJI TUZO YA MAMA SHUJAA WA CHAKULA
Posted on by Zourha Malisa
Mrisho Mpoto na Bendi yake wakitumbuiza wageni waalikwa jana usiku katika kijiji cha Maisha Plus ikiwa ni moja ya maadhimisho ya kumtafuta mshindi pamoja na kutoa tuzo ya Mama Shujaa wa Chakula 2012, wakati huo mshindi alipatikana kutoka mkoa wa Kondoa Sister Martha Mwasu aliyepewa zawadi ya vifaa vya kilimo zenye thamani ya milioni 10