Ma Dj wa Pro 24 walishilikiana vyema na Dj Choka wakati Msanii bora wa Hip Pop Roma Mkatoliki akifanya shoo ya nguvu jukwaani hali hii inaonyesha kuwa ma Dj wa pro 24 wanadumisha ushirikiano katika kazi ili kuboresha kazi na lengo litimie la kutoa burudani kwa mashabiki wao