| Mwanadada anayetamba na 'single' Upepo Rachael Haule 'Recho' akizungumza baada ya shoo yake aliyofanya Jumapili katika 'Stage' ya Club Bilicanas, kulia ni mtangazaji wa Televisheni ya Taifa (TBC) akimfanyia mahojiano baada ya shoo hiyo, nyuma yao ni mmoja wa ma Dj wa Pro 24 akiendelea kupagawisha, Usiku huo umepewa jina la Usiku wa Club ambapo unafanyika kila siku ya Jumapili |