Google PlusRSS FeedEmail

RECHO AKISHAMBULIA STAGE YA BILICANAS

Msanii anayekuja kwa kasi kubwa katika tasnia ya muziki Rachael Haule 'Recho' akishambulia jukwaa vilivyo huku akiwa yuko sambamba na wacheza shoo wake katika 'stage' ya Club Bilicanas jana katika shoo iliyoandaliwa na TBC 0NE pamoja na Pro-24 DJS. Usiku huo umepewa jina la Usiku wa Club ambapo kila jumapili msanii anawapagawisha mashabiki watakaohudhuria bilicanas na kuonyesha live TBC ONE &TWO

This entry was posted in

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging