SHANGWE HIYOOO Posted on by Zourha Malisa Huyu ni Dj wa Pro 24 baada ya shangwe kuzidi aliamua kujigeuza kama jokeri hii ni hali ya kusababisha kuonyesha furaha katika siku hiyo ya East Africa Pamoja Concert iliyoandaliwa na pro 24 Dj ndani ya Dar Live jijini Dar es Salaam