Google PlusRSS FeedEmail

CHRIS BROWN AJIPANGA UPYA KWA RIHANNA




Mwanamuziki Chris Brown ameelezea hali aliyokumbana nayo baada ya kumpiga mpenzi wake Rihanna kuwa anajutia kitendo hiko na kamwe hatasahau kitendo hiko

Brow amefunguka kuwa siku ya usiku aliyompa kichampo mpenzi wake na kumsababishia majeraha ya mchubuko kwenye baadhi ya mwili wake anajutia kitendo hiko ingawa amekiri kuwa amebadilisha maisha yake

"Najuta sana tukio lile ingawa nimejifunza kutokana na kile nilichokifanya nilikosa amani watu walikuwa wananishambulia kwa maneno kila mahari"anasema Brown

"Kwa sasa nimefungua ukurasa mpya wa maisha mengine mapya tunatarajia kufunga ndoa ni mapema sana kuizungumzia " anasema Brown

This entry was posted in

One Response so far.

  1. Anonymous says:

    Am Happy For them As Long As Wako Happy Safi sana.

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging