Google PlusRSS FeedEmail

RACHEL HAULE KIVYAKEVYAKE NA VANESSA IN DILLEMA

Msanii wa filamu wa kike Rachel Haule ameamua kuachana na filamu za kushirikishwa na badala yake kuamua kuwa mtayarishaji wa filamu ambazo pia ataendelea kuigiza katika filamu hizo atakazokuwa akizitayarisha na katika kuhakikisha hilo tayari ameanza na filamu inayokwenda kwa jina la Vanessa in Dillema“Katika tasnia ya filamu Bongo hauwezi kutoka kwa kuigiza filamu za watayarishaji wengine pekee ili uweze kujiongezea kipato lazima uwe na filamu yako hiyo ndio chachu ya kila msanii anajikuta akiamua kutengeneza filamu zake kwa ajili ya kumudu maisha,”anasema Rachel.

Pamoja na kuamua kujitegemea kuandaa kazi zake lakini msanii huyo anadai kuwa kuna Changamoto nyingi ikiwa masuala ya mtaji wa kuweza kutengeneza filamu bora, huku soko nalo likiwa ni tatizo kubwa kwani hakuna wasambazaji wengi hali inayosababisha wasanii kukaa na kazi kwa muda mrefu mkononi bila kuuzwa na kuwafikia watazamaji kwa wakati muafaka

Leave a Reply

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging