Google PlusRSS FeedEmail

KILL MUSIC ILIVOZINDULIWA MOSHI Wakazi wa moshi wakifwatiria kwa umakini show za washindi wa tuzo za Kilimanjaro music awards ambapo show hiyo imezinduliwa rasmi mwisho wa wiki mjini Moshi

 Malkia wa Mipasho Khadija Kopa akikonga nyoyo za mashabiki wa mjini Moshi walipohudhuria show hiyo ambayo mjini humo ndipo uzinduzi ulipofanyika.


 Baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya miondoko ya Hip Hop wakiwa katika picha ya pamoja kabla ya kupanda jukwaani

This entry was posted in

Leave a Reply

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging