Google PlusRSS FeedEmail
Baada mkongwe wa muziki na filamu ice cube kuitumbukiza filamu yake lotery ticket imeanza kuwa na mafanikio makubwa huko hollywood .
Lotery ticket ni filamu mpya ya Ice Cube,
Cube ambaye pia ni mtayarishaji wa filamu pia ameonekana kubadilika kutokana na hadithi aliyoiandika hasa katika filamu hii.
Katika filamu hiyo Cube amemshirikisha mwana hip hop Kevin Carson -(Bow Wow)ambaye ameonekana kumudu vilivyo sehemu yake aliyoigiza.
Filamu hii inaelezea maisha ya kamari ,ambapo bow wow anaonekana akitumia mamillion ya dolla ili aweze kushinda mchezo huo.
Licha ya maudhui hayo filamu hiyo inaelezea maisha ya zamani hasa maisha ya miaka 1931,ambapo kulikuwa namchezo wa kubahatisha wa le million,ambao uliweza kuleta msisimko miaka hiyo..pia katika filamu hiyo imeelezea utamaduni wa Africa,Ulaya na hasa kazi yenyewe kugusa nyanja zote

LOTERY TICKET YAANZA KUFANYA VYEMA SOKONI

Baada mkongwe wa muziki na filamu ice cube kuitumbukiza filamu yake lotery ticket imeanza kuwa na mafanikio makubwa huko hollywood . Lotery... [Read More]

Mwalimu Rashid Masimbi akichangia kwa hisia kali juu ya Maadili katika Filamu zetu.Kulia kwake Ni Mkongwe wa Muziki wa Dansi,Kassimu Mapili 

Wadau,kama kawaida leo hapa Baraza la Sanaala Taifa (BASATA) kwenye Jukwaa la Sanaa kulikuwa na Mjadala Mkali kuhusu Filamu za Kibongo na maadili yake kwa jamii za kitanzania.
Mjadala huo uliohudhuliwa na zaidi watu 100 na kuchokozwa na Rais wa Chama Cha Wamiliki wa Video Library,Richard Kallinga, ulijikita kwenye haja ya waandaaji wa filamu za kibongo kutengeneza filamu zenye ubora, zenye kubeba maadili ya mtanzania, zilizo na uhalisia wa maisha yetu ya kila siku,zisizokuwa za kuiga kutona Nollywood (Nigeria), zenye ujumbe unaoeleweka na kwa ujumla zenye mvuto.
Katika mjadala wake, wadau wengi walisema kwamba, Industry ya Filamu hapa Bongo imeajiri vijana wengi na inafanya vizuri ila hawakusita kutaja matatizo sugu ambayo lazima yafanyiwe kazi ili kubadili industry hii ambayo hapana shaka imekuwa kimbilio la wengi.Matatizo yaliyoainishwa ni pamoja na:

1. Wizi wa kazi za wasanii (Piracy) ambapo ilishauriwa kwamba Cosota lazima ibadilike, ipewe meno na iweze kupambana vilivyo na tatizo hili ambalo limekuwa likiwakwamisha wasanii wengi.

2. Kunakiri (copying) kazi za wasanii wa Nigeriana kutumia muziki (Sound Tracks) za wasanii wa muziki bila idhini yao.Katika haya wasanii wa Filamu wameshauriwa kuwa makini kwani sheria ya Hakimiliki inaweza kuwafunga.Kwa ujumla wasanii walishauriwa kuwekeza ubunifu binafsi na kubeba uhalisia wa sanaa yetu badala ya ilivyo sasa ambapo filamu zetu zimekuwa zikifanana fanana na zile za Nigeria.

3. Uchafu wa Filamu-Wadau wengi wamesema kwamba, filamu za kibongo zimekuwa na maadili mabovu yanayotokana uvaazi wa vichupi kwa wasanii wa kike, uoneshaji wa matendo ya faragha (mapenzi) mara kwa mara, script zenye kushabikia matendo maovu na yasiyofaa kwa jamii nk.Wadau walishauri Bodi ya Filamu, vituo vya TV na wasanii wenyewe kuhakikisha wanadhibiti filamu zisizo na maadili kwani zimekuwa zikitia aibu/kichefuchefu.Ilielezwa kwamba, baadhi ya filamu hazibebi uhusika wenye ufanano na maisha/maadili ya kitanzania

4. Wasanii kuact maisha ya juu mara kwa mara tofauti na uhalisia wao.Mtaalamu wa Filamu kutoka Chuo Kikuu,Bw.Ndunguru alieleza kwamba,filamu nzuri ni ile inayobeba uhalisia.Aliongeza kwamba, wasanii wanapenda kutumia magari ya gharama kama Hammer, majumba ya thamani, maisha ya anasa nk. kwenye filamu zao kueleza uhalisia usiokuwepo katika maisha yetu.


5.ubunifu mdogo wa waongozaji ,watengenezaji na mameneja wa filamu ambao wamekuwa wakifanya muda mwingi kunakili (copying)kazi za kigeni ,ilishauriwa kwamba ,wataalamu hawa wafikirie walau kupata elimu ,semina na mafunzo ya muda mfupi kwenye taaluma zao


6.kutozingatia mikataba kwenye kazi zao.ilielezwa kwamba ,wasanii wengi wamekuwa wakilalamikia wasambazaji wa kazi (Distributors)huku wakiwa wamesainiana mikataba,kumbe tatizo lililopo ni wasanii wenyewe kusain mikataba kwa pupa,ni uroho wa fedha ,bila kuisoma mikataba husika na wakati mwingine bila kuandikiana bali hufanyika mazungumzo ya mdomo tu.ilishauriwa wasanii wasimamie mikataba na kuhakikisha inawafikisha katika mafanikio.wasilalame tu,wachukue hatua pia

FILAMU ZA KIBONGO MAADILI YAKE NI KIFO KWETU?

Mwalimu Rashid Masimbi   akichangia kwa hisia kali juu ya Maadili katika Filamu zetu.Kulia kwake Ni Mkongwe wa Muziki wa Dansi,Kassimu Mapil... [Read More]

Ikiwa ni masaa machache tangu mfalme wa muziki wa   pop duniani marehemu Michael Jacksoni aliyefariki Dunia, mnapo tarehe 25 June 2009 huko Los Angeles Marekani fans wake wamesheherekea siku yake ya kuzaliwa  kwa style ya tofauti wakati yeye hayupo nasi hapa duniani..Michael alizaliwa tarehe 29 August 1958 Huko  Gary Indiana,Snoop Dogg ni moja kati ya wasanii ambao walijumuika na kupiga show ya nguvu katika kusherehekea miaka 52 tangu kuzaliwa kwake japokuwa show ilihudhuriwa na watu weusi wengi ila ilifana, sana, wengine walio hudhuria show hiyo na kufana ,ni Warren G, akiwepo Snoop mwenyewe vile vile watuwengine  maarufu waliohudhuria ni  Mteteahaki za binaadamu hasa Weusi,Al Sharpton ambaye naye alikuwepo.. Katika sherehe hizo.. kilichowafurahisha zaidi mashabiki waliohudhuria 
Kwa mwanamuziki  wakati alipokuwa akitumbuiza mwanamuziki Snoop Dog akiwa amevalia Glov aliyopewa na Hayati Michael Jackson..Snoop aliongeza kwa kumsifia J kuwa alikuwa anajua nini anafanya katika kazi yake....

SNOOP DOGG ATOA SHOW YA NGUVU YA KUJITOLEA KATIKA BIRTHDAY BASH YA MJ

Ikiwa ni masaa machache tangu mfalme wa muziki wa   pop duniani marehemu Michael Jacksoni aliyefariki Dunia, mnapo tarehe 25 June 2009 huko ... [Read More]

VIDEO - ALAJI PART 3 - Naija version

[Read More]

VIDEO - ALAJI PART 2 - Jeff Bogolobango

[Read More]

VIDEO - ALAJI PART 1 - coupé-décalé aladji

[Read More]



Wanamuziki wa Kimarekani kugeukia soko la filamu nchini humo limekuwa ni jambo la kawaida hasa baada ya mwanamuziki mwingine wa r&b Criss Brown sasa ametangaza rasmi kuingia katika fani hiyo...
Takers  filamu yenye maudhui ya kijambazi ambayo inamuonyesha mwanamuziki huyo yupo kwenye kundi hilo ambalo linasifiwa kwa wizi wa benk..
Hii inatokana na kusudio lao la kutaka kuiba dola million 20 ndani ya benk,ila hatimae anagundulika na polisi ambapo walionekana wakipanga mipango mbali mbali..
Japokuwa filamu hiyo inaonekana kufanana  na filamu iliowahi kufanya vyema sokoni SETT IT OFF ,lakini ukiangali inaonyesha wazi kuwa kuna maujuzi yameongezewa katika filamu hii,sifa kibao zimemwagwa kwa mtayarishaji wa filamu hiyo John Luessenhop amweza kubadilika na kuifanya filamu kuwa bomba..
Mbali na Criss Brown washiriki wengine ni Matt Dillon,Idriss Elba ,Tip Harris, Paul Walker,Hayden Christensen,Michael Ealy,Jay Hernandez,Zoe Saldana na Johnathon Schaech  

CRISS BROWN NAYE HUYOOO KATIKA FILAMU

Wanamuziki wa Kimarekani kugeukia soko la filamu nchini humo limekuwa ni jambo la kawaida hasa baada ya mwanamuziki mwingine wa r&b Cr... [Read More]

MIXTAPE :DJ Ty Boogie - Blend City 28

DOWNLOAD [Read More]



Mwanamuziki na Rapper Fabolous kutoka pande za new york ameweka bayana kuwa yeye na bwana mdogo soulja boy hawana beef yoyote..aliyaweka bayana kupitia mtandao wa Twitter..

Hayo yote mpaka kufikia hatua hiyo ni kutokana Fab alipokuwa akichambua footage ya Soulja Boy inayokwenda kwa jina Kat Stacks..Fab alisema kila mtu anajua Kat Stacks sasa kwanini ametumia footage katika video ni ufinyu wa mawazo,na ubunifu aahh natania tu jamani alisikika akisema Fab wakati akiwa katika moja ya hotel huko marekani ambapo alikuwa kwenye tour ya pamoja na Soulja Boy,lakini kwa upande wa bwana mdogo Soulja alijibu mapigo kwa kusema Fab hana jipya najua amependa ubunifu uliofanyika na ndio maana ameongea,kama kungekuwa hakuna ubunifu asingesema kitu so siwezi kubishana na mjinga aliyefilisika mashairi.. 

FABOLOUS HAS "NO BEEF" WITH SOULJA BOY, "EVERYBODY KNOWS WHAT KAT STACKS DOES"

Mwanamuziki na Rapper Fabolous kutoka pande za new york ameweka bayana kuwa yeye na bwana mdogo soulja boy hawana beef yoyote..aliyaweka b... [Read More]




Habari kutoka kwa Rais wa Young Money Mack Maine zinasema kuwa show kubwa ( concert ) ya mwanamuziki Lil Wayne inayotarajiwa kufanyika hivi karibuni Jijini New York Marekani,imepangwa kufanyika katika viwanja vya Madison Square Garden sehemu ambayo wao wameona ni moja kati sehemu nzuri itakayoweza kukusanya watu wengi zaidi kuweza kuudhuria concert hiyo..

Young Money president Mack Maine, aliongeza kuwa show hii ni kwa ajili ya kuwaweka waliotoka katika mstari katika style kusheherekea siku zao za kuzaliwa aliongeza kwa kusema ameshawahi kuudhuria birthday parties mbali mbali na kugundua kuna madudu mengi yanatokea ila show hii ni marekebisho kwa wale wote walio wahi kufanya birthday parties,hakika concert hii itawafunza watu ni jinsi gani siku hizi zinatakiwa kuwa na style ya kusheherekea,Sikosoi zote bali nyingi zimetoka katika muonekano wa birthday inavyotakiwa kuwa ..sasa tunafanya tamasha hili ili kifunza wapenzi wetu wajue nini kinatakiwa kufanywa katika birthday parties,na sio mapenzi tuu, alisikika akisema maneno hayo wakati alipokuwa akihojiwa na (MTV)

Vile vile aliongeza kuwa siku hiyo ndio siku ambayo wanatarajia kuwa ndio siku Lil Wayne anatarajiwa kutoka jela,itakuwa siku ya mafunzo kwa wapenzi wetu na ni siku ya kuzaliwa upya lily wayne kwa maana jela sehemu ambayo kuna mafunzo,kitendo cha kutoka ni sawa na kuzaliwa kwake upya kitabia…vile vile show kama hiyo wamepanga kufanyika katika majiji kama Los Angeles, Las Vegas, Toronto..

LIL WAYNE'S "WELCOME HOME"

Habari kutoka kwa Rais wa Young Money Mack Maine zinasema kuwa show kubwa ( concert ) ya mwanamuziki Lil Wayne inayotarajiwa kufanyika hi... [Read More]


Mshindi wa Tunzo za Grammy Rapper Kanye West na Rapper Jay-Z wanatarajiwa kutoa alabamu ya pamoja ambayo itakuwa na ngoma tano za ukweli na tayari wameshaweka bayana jina albamu hiyo wameibatiza jina Watch the Throne.

Kanye West aliongeza kwa kusema wazo la albamu hiyo ya pamoja ni la wote wawili ambapo swala hilo lilikuja siku moja walipokuwa wamekaa wakijadiliana kuhusu muziki wao kwa ujumla ndio chanzo cha chimbuko la albamu hiyo Watch the Throne,

Sisi wote ni wakali na hakika kila mtu anajua kote ulimwengini na sasa ni wakati wa kuwaunganisha mashabiki wa Big Boss wangu Jay Z na mashabiki wangu,kupitia albamu hii ambayo itakuwa na nyimbo tano kali...

Tumeanza kuandika mashairi ya nyimbo zote tano leo August 27 na tumeanza kuandika wimbo utakaokuwa wa pili katika albamu yetu..na wimbo huo tumeupa jina Happy Good Friday

Kanye West & Jay-Z Double Up, "We About To Drop A 5 Song Album"

Mshindi wa Tunzo za Grammy Rapper Kanye West na Rapper Jay-Z wanatarajiwa kutoa alabamu ya pamoja ambayo itakuwa na ngoma tano za ukweli na... [Read More]

VIDEO - Gyptian - Hold You

[Read More]

VIDEO - GELLY & AT FEAT RAY C - MAMA NTILIE

[Read More]



Djs ambao kwa sasa ni gumzo kila kona ndani na nje ya Tanzania,Pro-24 djs, kwa sasa watakuwa wakitoa bonge la burudani kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi ndani ya ZHONG HUA GARDERN,wakishirikiana na Dj Peter Moe.

Djs hao kwa sasa wamekuwa gumzo ndani na nje ya nchi kutoka na style ya upigaji, na hasa wakiwa wanatumia style ya tofauti katika upigaji wa disco,
Wakati wakiwa  katika 1 na 2 hutoweza kuvumilia  kukaa maana kazi yao kukufanya ucheze mda wote

Kwa sasa wamejikita katika sehemu tofauti  tofauti ndani na nje ya mipaka yetu,ila kila Jumamosi ya mwisho wa mwezi huwa wanaunganika na dj  Peter moe 

Ili kukupa raha zaidi wewe mpenzi wa burudani Pro-24Djz wakishirikiana na Dj Peter More  watakuwa kila Jumamosi ya mwisho wa Mwezi ndani ya ZHONG HUA GARDERN  wakikuletea usiku wa  GROOVE BACK,MWANZO MWISHO



PRO-24 DJS + DJ PETER MOE NDANI YA ZHONG HUA GARDERN..UTAJIBEBA UKIWAONA

Djs ambao kwa sasa ni gumzo kila kona ndani na nje ya Tanzania,Pro-24 djs, kwa sasa watakuwa wakitoa bonge la burudani kila Jumamosi ya m... [Read More]

Nonini Ft. Sylvia - Manzi wa Nairobi

[Read More]

P-Unit ft Mimmo - Kare

[Read More]

Juliana Kanyomozi - Nabikoowa

[Read More]

Omulangira Ssuuna - Mama Cita

[Read More]

MIXTAPE 002 - DJ Amo R.B Blends on Smash Vol 2

DOWNLOAD NOW [Read More]

MIXTAPE 001 - DJ Amo R.B Blends on Smash Vol 1

DOWNLOAD NOW [Read More]

Fat Joe wants to settle his beef with 50 Centface-to-face.“The day 50 Cent want to lock up with me in a bathroom and do this like men, we can hug each other and keep it moving the day after that,” said Joe to MTV News. “I would love to be in an airport, we bump into each other, we go in the men’s room, best man wins, that’s it.”


Fat Joe explained that 50 Cent’s aim is to simply attack everyone in the New York Hip Hop scene.

“The latest one he’s going at: Puff Daddy. He has beef with Jadakiss, he has beef with Cam’ron. Anybody we consider dope in New York, he has went at them. There ain’t nobody he ain’t touch,” Fat Joe said.

“Fat Joe ain’t out here trying to battle-rap everybody in the world. That’s not what I’m about. What I am is a man, and when you disrespect my family and you disrespect me like that, there’s gotta be answers to the questions.”

Fat Joe Wants 50 Cent Face To Face

Fat Joe wants to settle his beef with 50 Centface-to-face. “The day  50 Cent  want to lock up with me in a bathroom and do this like men, we... [Read More]

Show ilikua ya safaricom,,inaitwa facebook,,,kulikua na wasanii kibao,,wakiwemo,,,MOG,P Unit,Nameless,Nonini na AY na FA,,ilifanyika Nairobi katika viwanjwa vya KICC leo mchana,,,AY na FA walifunika mbaya,,tamasha zima lilibebwa na perfomance,zawadi mbalimbali na mashindano ya kutafuta campus bora ya facebook,highschool bora ya facebook na MR&Miss safaricom facebook2010

  
Hapa msela akiwa anasubiri kupanda jukwaani ilikuwa powaa sana!!


AY- akiwa jukwaani akikamua akiwakilisha Bongo Flever ndani ya Jiji la Nairobi

Wakenya wakiwa na nyuso za furaha huku wakisubiri katiba yao mpya itakayosainiwa August 27 mwaka huu ,hapa walikuwa wakipata burudani tosha kutoka kwa wanamuziki kutoka Tanzania,Nao ni Ay - Fa

WABONGO SASA WAMEKUWA KIMUZIKI AY & FA NDANI YA JIJI LA NAIROBI WAKATI WAKENYA WAKIWA WANASUBIRI KATIBA MPYA

Show ilikua ya safaricom,,inaitwa facebook,,,kulikua na wasanii kibao,,wakiwemo,,,MOG,P Unit,Nameless,Nonini na AY na FA,,ilifanyika Nairobi... [Read More]

Rappers Bow Wow and Ice Cube's new film, Lottery Ticket, failed to dominate the box office this past weekend debuting at No. 4 with just over $11 million in profits.

According to reports, the movie was out-performed by action thriller The Expendables and two other flicks.


Lionsgate's "The Expendables" remained No. 1 for a second straight weekend with $16.5 million, according to studio estimates Sunday. Directed by and starring Sylvester Stallone, the action romp about mercenaries aiming to overthrow a dictator raised its total to $64.9 million. "Vampires Suck" was in a photo finish for the No. 2 spot with another holdover, Julia Roberts' drama "Eat Pray Love." The Sony film about a divorced woman traveling the world in search of fulfillment pulled in $12 million to lift its total to $47.1 million

Bow Wow & Ice Cube's "Lottery Ticket" Fails To Hit Box Office Jackpot

Rappers Bow Wow and Ice Cube's new film, Lottery Ticket, failed to dominate the box office this past weekend debuting at No. 4 with just... [Read More]

[Read More]

[Read More]

[Read More]

[Read More]

[Read More]

The Notorious B.I.G. Hot 97 Tribute Mix

DOWNLOAD [Read More]

About Pro24

[Read More]

BEEF - 001 C VS G

[Read More]

112 - Only You (Original)
112 F. Mase And Notorious Big - Only You (Remix)

OLDSCHOOL

112 - Only You (Original) 112 F. Mase And Notorious Big - Only You (Remix) 702 - Beep Me 911 702 - No Doubt Aaliyah - Age Aint Nothing But... [Read More]

ZOUK

Akudo - Apocalips Oliver Ngoma- Alphosina Mr.Paul - Zuwena Oliver Ngoma - Adia Oliver Ngoma - Bane Oliver Ngoma - Num... [Read More]

MUSIC DOWNLOADS

DOWNLOAD TOP HITS MIXTAPES HIPHOP & RNB DANCEHALL BONGO FLAVOUR ... [Read More]

    Powered By Blogger

    Receive all updates via Facebook. Just Click the Like Button Below...

    Get This SpiceUpBlogging